Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Wakuu simu yangu inatatzo ya virus je ni app gani ya anti-virus nzuri kwa hizi android zetu?? Hata iwe ya kununua nijuzeni wakuu .
Asee ntakutumia screen shotHivi simu ikiwa na Virusi huwa inakuwaje?
anti virus kwa sim ni useless, inafanya sim iwe nzito zaidi na kufyeka cpu na ram
cha kufanya hard reset iyo sim, then acha kudownload apps ambazo huzijui, acha kudownload ovyo ovyo apo, virus utawasikia kwenye bomba
hasara roho, simu maplastikiSi nasikia uki reset simu kuna uwezo unapungua kwenye simu??
Simu yangu ilikuja na ant virus ya AVG ngoja nijaribu kui unstallanti virus kwa sim ni useless, inafanya sim iwe nzito zaidi na kufyeka cpu na ram
cha kufanya hard reset iyo sim, then acha kudownload apps ambazo huzijui, acha kudownload ovyo ovyo apo, virus utawasikia kwenye bomba
Panasonicunatumia simu aina gani?