App gani mzuri, inaunganisha PDF, Word, Excel Katika simu

App gani mzuri, inaunganisha PDF, Word, Excel Katika simu

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Wataalamu wa teknolojia, nilikua naomba msaada App gani ambayo inafanya kazi tofauti tofauti Katika simu..

Ambayo, inafungua Document mbaliii ambazo zipo Katika mifumo tofauti tofauti

Mfano Word, Excel, Pdf na nk

Maana simu zetu ndogo, unakuta unajaza App tofauti tofauti, sasa inakua kelo pale unapokosa baadhi App unashindwa kufungua baadhi ya document.. Mfano Kuna documents za Pdf zikiwa Katika Zip ukidownlod zinagoma.. Naomba msaada
 
Wasubiri wataalamu wanakuja
 
Duuuh wataalamu wetu vipiii mbona siwaoni Katika huu uzi
 
Wakuuu kuna app fulanii ya kusoma vitabu vilivyo ktk pdf na unaweza set ikasoma kwa sauti....kwa anayeijua naomba atujuze. Niliwahi itumia zaman kwa sasa nimeisahau....(LIBERA)
 
Hizo zoote zina threat na simu yko....na inaweza Fanya simu kuwa nzito au overheating.... Kuna app moja tu ambayo iko more safe na geek wrngi hupenda kuitumia
 
Haipatkni Kwa free kwny mitandao ...mpka uwe una black market app....kma unahitaji Mimi in mwanachma Wa black market...ni inbox nikuelekze
 
Back
Top Bottom