Whats-AppHakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" ni ushamba unafanywa na wabongo tu.
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ushamba huu mzigo
Very useful when you want to track your mobile money expenditures and income. MPESA ,TIGOPESA and AirtelMoney.Hakiki app
HakikiWadau nimekua nikifanya utafiti ili kufahamu applications bora kabisa za kiswahili zilizotengenezwa Tanzania ama na watanzania lakini sijapata nyingi zaidi ya Jamii Forum Millard Ayo na Pamoja app.
Je kuna mtu mwingine anafahamu app yoyote ya kitanzania?!
Inaweza kua ni ushamba kwa mtazamo wa mtu. Mimi nimebahatika kufanya shughuli zinazo husiaana na Applications. Trust me, kuna watu hawajui kabisa. Kuweka neno app Kunarahisisha mambo mengi ikiwemo mauzo.Whats-App
Huo pia ni ushamba?
Achaga hizo kelele mkuu
nishakula magoma kazaa from Pamoja App.....Wadau nimekua nikifanya utafiti ili kufahamu applications bora kabisa za kiswahili zilizotengenezwa Tanzania ama na watanzania lakini sijapata nyingi zaidi ya Jamii Forum Millard Ayo na Pamoja app.
Je kuna mtu mwingine anafahamu app yoyote ya kitanzania?!
Imetengenezwa wapi mkuu?Jamii forums app haijatengenezwa Tanzania last time I checked ni turn key solution kwa ajili ya yoyote mwenye forum inayotumia software wayotumia JF.