Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 939
Inaitwaje iyo app niitafute?Ipp Poa app ambayo ni ya mtandao wa kijamii, kuna hadithi app inahuska na maswala ya hadith kama ww nj mpnz wa hadith
Imetengenezwa na wabongo?!Ipp Poa app ambayo ni ya mtandao wa kijamii, kuna hadithi app inahuska na maswala ya hadith kama ww nj mpnz wa hadith
Ndio ni za tanzania hapa inaitwa POA APP, HADITHI APPImetengenezwa na wabongo?!
POA APP pamoja na HADITHI APPInaitwaje iyo app niitafute?
Kivipi....Hakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" hilo wanalifanya wabongo tu, ni ushamba
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite app Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ujinga huu
Kila anaetengeneza na uamuz wake whats-app mbn hujaj au kwa vle sio ya ki bongo...Hakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" hilo wanalifanya wabongo tu, ni ushamba
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite app Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ujinga huu
Kila anaetengeneza na uamuz wake whats-app mbn hujaj au kwa vle sio ya ki bongo...
Hata kama lmetokana na hlo neno but still neno (app) lpo haijalish imetokea wp wala nn kwnn wasingeacha likawa ni (whats) au angeweka hyo ups ili ibak kama salam yy akasema aite whatsapp kila mtu anatengeneneza na uamuz wake ww kama hupend iwe na neno app tengeneza yakoWhatsapp hujui imetokana na neno "whatsup?" ambalo ni salamu, it makes sense kuiita whatsapp, pronounciation ileile. Maneno pamojaapp, hadithiapp yametokana na nini?
Ni sawa na Tesla waje na magari yao waanze kuyaita P100DCar, au Tesla Model XCar, tunajua tayari ni gari hakuna aja ya kuongeza hilo neno kwa mbele, utajisikia vizuri leo Vodacom kwenye kila bango lao waanze kujiita VodacomMtandao, TigoMtandao? waste of time.
Hata kama lmetokana na hlo neno but still neno (app) lpo haijalish imetokea wp wala nn kwnn wasingeacha likawa ni (whats) au angeweka hyo ups ili ibak kama salam yy akasema aite whatsapp kila mtu anatengeneneza na uamuz wake ww kama hupend iwe na neno app tengeneza yako
Hahahhaha hongera broo ila na ww si ulkua uamuz wako usiweke hlo neno (app) au kuna mtu alkushikia pangaUnatafuta kila njia kuhalalisha huu ujinga. Zangu nimetengeneza ndio na sijaziita app. Message sent, kama ni moja ya watu mlio na idea zisizo na maana yoyote mziache.
ebana mwanang tesla kibongobongo zitafika kwelWhatsapp hujui imetokana na neno "whatsup?" ambalo ni salamu, it makes sense kuiita whatsapp, pronounciation ileile. Maneno pamojaapp, hadithiapp yametokana na nini?
Ni sawa na Tesla waje na magari yao waanze kuyaita P100DCar, au Tesla Model XCar, tunajua tayari ni gari hakuna aja ya kuongeza hilo neno kwa mbele, utajisikia vizuri leo Vodacom kwenye kila bango lao waanze kujiita VodacomMtandao, TigoMtandao? waste of time.
Mbona jina la kibiashara ni uhuru wa mtu mwenyewe kujua anatakiwa afanyaje boss. Unaweza uiite vyovyote utakavyo. Swali la msingi ni functionality yake iko bomba au ni ya kubabaisha?!Unatafuta kila njia kuhalalisha huu ujinga. Zangu nimetengeneza ndio na sijaziita app. Message sent, kama ni moja ya watu mlio na idea zisizo na maana yoyote mziache.
Za kwako zinaitwaje? Mbona povu linakutoka, siajabu kazi yako ni kukosoa kazi za wenzio.Unatafuta kila njia kuhalalisha huu ujinga. Zangu nimetengeneza ndio na sijaziita app. Message sent, kama ni moja ya watu mlio na idea zisizo na maana yoyote mziache.
Hakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" ni ushamba unafanywa na wabongo tu.
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ushamba huu mzigo
Bora unisaidie kumuelewesha huyu maana mgum kwl kuelewaZa kwako zinaitwaje? Mbona povu linakutoka, siajabu kazi yako ni kukosoa kazi za wenzio.
Wanapoongeza neno App ni vizuri ili irahisishe kutambua kuwa hiyo huduma gani, na ina fit wapi...