API ya M-Pesa

API ya M-Pesa

misso

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
46
Reaction score
6
Habari,
Kwa yeyote anayefahamu Official API ya m-pesa (vodacom Tanzania) inatoka lini, naomba anitaarifu.

PS: nafahamu kuhusu API ya safaricom so don't recommend that.
 
Vodacom Tanzania wamelala doro wanaisubiri itoke Kenya. Wabongo wengi wanaweza kutengeneza hiki kitu ila ndo hivyo huwezi kupata ushirikiano toka makampuni ya simu hapa bongo.
 
Rahisi kutengeneza API ya MPESA, sema hawa jamaa wapo very closed hawataki mtu aguse system yao.... Mi mwenyewe nina shida nayo sana sema the only solution inayobaki ni kuunganisha modem na kuandika a simple script iwe inaforward received texts kutoka kwenye specific namba yao then inaforward kwenda kwenye server..
Hii ni manual work na modem lazima iwe hewani masaa yote, japo security yake pia si mbaya...
 
Works for M-Pesa private accounts....commercial ones?

Hata mi nimeona the same thing, labda sababu jamaa hawana internal access wameona wasijisumbue na commercial wasije letewa kesi bure sababu wanaweza toa kitu very unstable... ila all in all angalau wamejaribu, private accounts hazina msaada kabisa, mtu mwenye akili zake anafanya business hawezi tumia private account
 
Midcom kenya inakuwaje? Ile inatumika kibiashara
 
Rahisi kutengeneza API ya MPESA, sema hawa jamaa wapo very closed hawataki mtu aguse system yao.... Mi mwenyewe nina shida nayo sana sema the only solution inayobaki ni kuunganisha modem na kuandika a simple script iwe inaforward received texts kutoka kwenye specific namba yao then inaforward kwenda kwenye server..
Hii ni manual work na modem lazima iwe hewani masaa yote, japo security yake pia si mbaya...

Hiliswala litawalazim Vodacom kuruhusu maana nimuda Wa mabadiriko
 
Rahisi kutengeneza API ya MPESA, sema hawa jamaa wapo very closed hawataki mtu aguse system yao.... Mi mwenyewe nina shida nayo sana sema the only solution inayobaki ni kuunganisha modem na kuandika a simple script iwe inaforward received texts kutoka kwenye specific namba yao then inaforward kwenda kwenye server..
Hii ni manual work na modem lazima iwe hewani masaa yote, japo security yake pia si mbaya...

Yep this is what i did in the past, its a complete 'ghetto' solution but it works.
 
Habari,
Kwa yeyote anayefahamu Official API ya m-pesa (vodacom Tanzania) inatoka lini, naomba anitaarifu.

PS: nafahamu kuhusu API ya safaricom so don't recommend that.

Kama unaka kujua inatoka lini then best bet is, nenda Vodacom kawaulize, If you are looking for a solution, try Pesapal.
 
Dah bongo mpaka mtandqo mwingine uanze kufanya ndo na wao wataiga,ila wangejiongeza wenyewe sababu mambo yashabadilika
 
Back
Top Bottom