Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,446
Association of Private Health Facilities in Tanzania (APHFTA) lipeni watu waliokuwa wanahudumu kwenye Mradi wenu wa "Tohara salama". Kama hamna hela za kuwalipa waambieni.
Jamaa wamepiga hela ndefu sana.Poleni sana...