Apendae kusifiwa apende na kukosolewa

Apendae kusifiwa apende na kukosolewa

a4apple

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
927
Reaction score
1,143
Kusifiwa na kukosolewa ni pande mbili za sarafu. Kiongozi muungwana kama Rais mstaafu Kikwete hukubali yote, ila madikteta kama vile Idd Amini hukubali kusifiwa na si kukosolewa. Hao hujiona wao ni malaika au miungu wadogo, kwani wao hawakosei milele. Mungu wabariki viongozi wanaokubali kutubu
 
Magufail si tu anapaswa kuvumilia kukosolewa, bali pia akubali kuombewa mabaya pale anapotoa mwaliko tumuombee!

Mimi namuombea apigwe na my wife wake.
Hahahahaaaa!Mimi namuombea maji ya kunywa hapa kwa jirani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Magufail si tu anapaswa kuvumilia kukosolewa, bali pia akubali kuombewa mabaya pale anapotoa mwaliko tumuombee!

Mimi namuombea apigwe na my wife wake.
Hahahaa....haya maombi sasaa..!!!
 
Kusifiwa na kukosolewa ni pande mbili za sarafu. Kiongozi muungwana kama Rais mstaafu Kikwete hukubali yote, ila madikteta kama vile Idd Amini hukubali kusifiwa na si kukosolewa. Hao hujiona wao ni malaika au miungu wadogo, kwani wao hawakosei milele. Mungu wabariki viongozi wanaokubali kutubu
MBONA UMEWEKA MAMBO MAWILI YANAYOPINGANA?
 
Back
Top Bottom