Apartment for rent

Apartment for rent

kipese0306

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
49
Reaction score
15
4bedroom Apartment
3 Bathrooms and Toilets
Sitting room
Kitchen
Store
Full Ac
Location-ilala Bungoni
Price-550usd
20171024_145846.jpg
20171024_145828.jpg
20171024_145907.jpg
20171024_145926.jpg
 
Hiyo bei/dola ni kwa muda gani mwaka ,mwezi au wiki??
 
Hiyo 550 USD ni /day or !!?? Be specific.
 
[emoji23] [emoji23] kama ni 550usd per year sema nihamie kesho asubuhi
 
Wabongo mnachekesha sana. Yaani apartment bongo ni ghali kuliku apartment ya London?
Bora Magufuli awanyooshe ili uchumi ueleweke maana uko ovyoovyo tu, watu mnajipangia bei kiolelaolela.
 
Inamaan kupanga London bei ya apartment ni chini ya dola 500 kwa mwezi au ?
 
Inamaan kupanga London bei ya apartment ni chini ya dola 500 kwa mwezi au ?
Yes, nyumba ya vyumba vi2 au vi3 unapata kwa less than £100 ambayo sawa na $130 kwa wiki.
Kwahiyo, kwa mwezi itakuwa kama £400
 
Hili ndio tatizo lingine la wabongo na mambo ya kuiga hadi kipelekea kuumizana kimaisha bila kujali uzawa.
Unapopanga price angalia hali ya uchumi na aina ya wateja.
Bongo RAIA from USA na RAIA from tz wanalipishwa bei sawa wakati ukiwa kwao huko walikoendelea wazawa kwanza na mgeni ndio unagongwa ili utakapoondoka usiondoke na pesa.
Bei hiyo ni kubwa hasa kwa huu wakati.
Ila watz tupo tayar jengo lilale tandabui kuliko kipangisha bei ya kawaida wateja wakawa wa uhakika
 
Ili mbongo wa kawaida aweze kupangisha hiyo apartment, inabidi awe na mshahara siyo chini ya $1200 kwa mwezi. Na ukiangalia wafanyakazi wa chini serikalini hawapati mishahara hiyo. Wakati wafanyakazi wazungu wa kima cha chini wanapata more than $1200 per month ktk nchi zao.
Wenzetu walio endelea wanajenga nyumba za council ili wananchi wao wapange kwa bei nafuu, wakati Shirika la nyumba (nhc) bongo linajenga kwa ajili ya matajiri. Ndiyo bongo yetu.
 
Yes, nyumba ya vyumba vi2 au vi3 unapata kwa less than £100 ambayo sawa na $130 kwa wiki.
Kwahiyo, kwa mwezi itakuwa kama £400
Hii hapana kaka sio kweli .....kama unaweza kupanga apertment ya vyumba viwili kwa less than £ 100 London .......LONDON nimiongoni ya MIJI yenye Rent ya nyumba iliyo kuwa kubwa kuliko MIJI mingi MIKUBWA DUNIA .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom