Apartment 4 zinapangishwa jijini Arusha

Apartment 4 zinapangishwa jijini Arusha

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
767
Reaction score
207
KILA MOJA INA:
-BDRM 2(1 MASTER)
-SITTING RM
-DINING RM
-PUBLIC TOILET
-JIKO & STOO
-LUKU-METER.
-Mazingira tulivu saana.
-zina uzio(ukuta), na zina mageti mawili

MAHALI:
-Olasiti vibandani,Kilometa moja kutoka Barabarani(Jr/Oljoro) Road)

Zinakodishwa zote kwa gharama ya USD 1,200/- au @ USD 300/-

ZINAFAA KWA AJILI YA OFISI AU MAKAZI.


MAWASILIANO:
+255767287941
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    9.4 KB · Views: 219
  • 2.jpg
    2.jpg
    7.5 KB · Views: 209
  • 3.jpg
    3.jpg
    10.6 KB · Views: 205
  • 4...jpg
    4...jpg
    9.5 KB · Views: 203
  • 4.jpg
    4.jpg
    9 KB · Views: 210
Kuweka bei kwa dollar ndio maana yake nini ? Ina maana mukipewa kwa shilingi hampangishi ???
 
Olasiti laki 6?Kwa kodi hiyo unapata vyumba Sokoine Road.
 
Sina dola nina shilingi..........itawezekana.........?.........
 
Olasiti laki 6?Kwa kodi hiyo unapata vyumba Sokoine Road.

Sijaweka picha, huenda ndo maana unadharau ila ni mahala pazuri saana,
nitajitahidi niwawekee picha ili mjionee,
Na iwapo bei inawashinda zipo za laki 4 , mpaka laki 3.5 maeneo ya olasiti,njiro na moshono
 
Laki 4 au laki 3.5, changamka, kama unataka za laki 2.5 zipo ila hazina maeneo makubwa ila ndani ya geti
 
Sasa unaweka dollar ili iweje?? Mbona watanzania sisi ni mambulula sana???
 
appartmen ambazo ni 'full furnished' na ambazo ni 'partial furnished' bado zipo
 
Usisumbuke kupata nyumba za kununua au kupanga hapa
Arusha.

wasiliana nasi ili ujipatie kwa
urahis.

MAWASILIANO:
+255767287 941

Karibuni sana.
 
aisee..apa nairobi apartment moja nimekodisha ni $1650 kwa mwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom