Nyumba ya kisasa inauzwa - Sakina Arusha

Nyumba ya kisasa inauzwa - Sakina Arusha

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
767
Reaction score
207
Nyumba hiyo ina:
Bdrm 4(masta 2).
Publc toilet 2.
Sitting rm.
Livng rm.
Jiko+stoo+Cabinate.
Studying rum
5000ltrs water tank.

MAHALI:
Sakina(Nyumba ya bluu),Arusha Tanzania
-Mita 100 kutoka main Road.
-Mita 100 kutoka St.Patrick School.

BEI:
350Milioni(mazungumzo yapo).
-Installment inakubaliwa.

SIMU:
+255767287941
 

Attachments

  • 1......jpg
    1......jpg
    13.7 KB · Views: 532
  • 1.....jpg
    1.....jpg
    16.2 KB · Views: 462
  • 1...jpg
    1...jpg
    11.8 KB · Views: 479
  • 1..jpg
    1..jpg
    9.3 KB · Views: 448
  • 1.jpg
    1.jpg
    12.7 KB · Views: 458
installment imewekwa ili kuweza kumrahisishia mteja kununua.

NB:
Sio wote wenye hali moja kimaisha.
 
Yaani kweli kwa hiyo bei itaendelea kuwepo ,maana NHC ,kwa hiyo bei unapata apartment ya maana na chenje inabaki
 
Ila kwa sakina ni nyumba nzuri na bei reasonable, mbona kinondoni hapa vibanda vinauzwa bei hiyo!?
 
Nyumba ya Kisasa @ Sombetini,Arusha.

Nyumba ina:
-Vyumba 3(1 masta).
-Choo cha Public.
-Dinning+Living rm.
-Shaded Car Port.
-Nyumba ya watumishi+2 Bdrm.
-Full tiled.
-Paving block.
-Nyumba ina Geti & Ukuta.

BEI:
45 milioni

MAHALI:
-Sombetini,Arusha Tanzania.
-400M Kutoka barabara ya mtaa.

MAWASILIANO:
+255767-287 941
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom