ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
-
- #21
Na nyie watanzania hebu tumieni akili bana, kuweni wazi mnapopanga biashara kama hizi, ni wazi wateja wenu ni wageni au mafisadi!
Tatizo kunduchi mbali sana..
Kazini mtatupeleka kwa helicopter?
Ni full furnished? hizo two bedroom ni self contained? is it two bedrooms plus sitting room, dining room kitchen etc au 2 bedroom kama zilivyo?
Fafanua zaidi,inaonekana kama umetumwa tu kuja kujaribu zali la bei humu jf.
Uyasemayo yana ukweli ndugu, lakini thamani ya nyumba ama makazi bora si matofali ama cement na mabati! Ni eneo husika! Ndio maana ukienda maeneo ya Oysterbay utakuta viwanja viwili vinafanana kwa ukubwa, kimoja kina nyumba tena ya ghorofa na kingine hakina, lakini baei ziko sawa! jiulize kwa nini? People are buying location, not brick and mortar! Ukumbuke pia kwamba maeneo mengi ya Dar es Salaam hayako planned (over 70%) ndio maana bei za maeneo haya zinakuwa juu! Hiyo ndiyo hali halisi, na si mimi!
Sijatumwa kujaribu zali Ndugu, hii ni kazi yangu niliyoisomea miaka minne na ni mwaka wa nane sasa nafanya hii kazi! Ni unfurnished two bedrooms with common washroom, diinning cum sitting room, plus kitchen.
Wadau pia kuna sehemu yoyote ambayo wanapanga labda hata kwa one month or 2 months au labda niseme kwa wageni wanakuja dar na kukaa kwa mda mfupi na kuondoka??Na ambazo zipo full furnished
Wabongo kwa kujitutumua wacha kabisa, Warren Buffet ni billionea na bado anaishi nyumba ya kawaida kabisa. Nadhani ukimwambia kulipa kodi ya $15,000/month anaweza kupata heart attack!.Ukienda Peninsula huko Masaki na Oysterbay hata mshahara wako wa mwaka mzima unawezashindwa lipia nyumba! Kodi ni hadi Dola 15,000 per month! Kwa Dar es Salaam ni wewe unaamua uishi wapi? Kuna vyumba hata vya shs. 20,000 kwa mwezi! Kupanga ni kuchagua! Karibu!
Wabongo kwa kujitutumua wacha kabisa, Warren Buffet ni billionea na bado anaishi nyumba ya kawaida kabisa. Nadhani ukimwambia kulipa kodi ya $15,000/month anaweza kupata heart attack!.
Mimi Naishi Bahari Beach, karibu Amoeba!
Kiwanja ulinunua bei gani mkuu?
500,000.00 kwa mwezi na nitalipa kwa miezi sita badala ya mwaka.
Unakubali au??
Nimepanga mkubwa siko kwangu, bado najipanga!