okey sasa huyo kama ni mtu wa mishe ni kawaida.... na wewe unampigia mara ngapi kwa wiki? kama yupo bussy inabidi wewe ndo uwe unapiga simu..... kama ungesema huwa apokei simu au anakukataza kupiga hapo kweli ningeona amna mapenzi...
raha ya kupiga nawe upigiwe sio kila mara wewe tu khaa......kama yupo busy basi hata usiku kabla ya kulala apigi
Na wewe huwa una mpgia mara ngapi? kwa sababu hilo ni jukumu lenu wote, jenga mazingira mkuu.jaman wanajanvi naomba kujuzwa hapa kidogo.ninampenz wang nampend cn lakn cha kushangaza ananipigiaga cm mara moja kwa wiki
Basi kama umesha zoea hakuna haja ya kutia shaka sababu haikupishida.nmeanza kumzoea na 2naelekea kumalza mwaka sasa
jaman wanajanvi naomba kujuzwa hapa kidogo.ninampenz wang nampend cn lakn cha kushangaza ananipigiaga cm mara moja kwa wiki nkimuulza mbona unansahau kias hicho anadai kua anakua bize cn, kiac kwamb nmeanza kumzoea na 2naelekea kumalza mwaka sasa,
anafundisha A-level
anafundisha A-level