Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #41 KENZY said: Naelewa.. sorry sielewi kwanini sielewi Click to expand... Sielewi kwanini unajitoa ufahamu
KENZY said: Naelewa.. sorry sielewi kwanini sielewi Click to expand... Sielewi kwanini unajitoa ufahamu
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #42 bowlibo said: Sielewi kwa nini sielewi Click to expand... Sielewi kwanini huelewi kwanini huelewi
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #43 kwanini5 said: Sijui kwanini wanaume wa mikoani wanaongoza thread kuwa wana vibamia. Click to expand... Sielewi kwanini umeanza na sijui kwanini wakati unapaswa kuanza na sielewi kwanini
kwanini5 said: Sijui kwanini wanaume wa mikoani wanaongoza thread kuwa wana vibamia. Click to expand... Sielewi kwanini umeanza na sijui kwanini wakati unapaswa kuanza na sielewi kwanini
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #44 asigwa said: Sielewi kwa nini nampenda Jane... Click to expand... Sielewi kwanini usiendelee kumpenda demu wako uliye naye
asigwa said: Sielewi kwa nini nampenda Jane... Click to expand... Sielewi kwanini usiendelee kumpenda demu wako uliye naye
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #45 S Kingmairo said: Sielewi kwanini Jane Unawaza waza tu ngono Click to expand... Sielewi kwanini unasema hivyo mkuu
S Kingmairo said: Sielewi kwanini Jane Unawaza waza tu ngono Click to expand... Sielewi kwanini unasema hivyo mkuu
kampelewele JF-Expert Member Joined Oct 13, 2014 Posts 2,998 Reaction score 2,414 Jun 21, 2016 #46 Jane Lowassa said: Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....." Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba" Haya wakuu, twende kazi......... Click to expand... Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya
Jane Lowassa said: Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....." Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba" Haya wakuu, twende kazi......... Click to expand... Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya
NGANYIKA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 204 Reaction score 161 Jun 21, 2016 #47 Sielewi kwa nini JF members wafuata thread na kuandika ujinga tu. Fanyeni kazi na tumieni MB zetu vizuri.
Sielewi kwa nini JF members wafuata thread na kuandika ujinga tu. Fanyeni kazi na tumieni MB zetu vizuri.
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #48 kampelewunasbin 16591221 said: Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya Click to expand... Sielewi kwanini unashindwa kuwa mstaarabu kwenye nyuzi za watu
kampelewunasbin 16591221 said: Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya Click to expand... Sielewi kwanini unashindwa kuwa mstaarabu kwenye nyuzi za watu
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,931 Jun 21, 2016 #49 Sielewi kwanini SINGLE MOTHERS wanaongezeka kwa kasi siku hizi
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,571 Reaction score 21,531 Jun 21, 2016 #50 sielewi kwanin Wenye hilo jina ni wa division 4
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,743 Reaction score 12,370 Jun 21, 2016 #51 sielewi kwann wadada wazuri hawaolewi
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,981 Jun 21, 2016 #52 Sielewi kwa nini maisha yamekua ghali sana.
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Jun 21, 2016 Thread starter #53 Elly Paulo said: Sielewi kwa nini maisha yamekua ghali sana. Click to expand... Sielewi kwanini mi mbona naona maisha kawaida tu
Elly Paulo said: Sielewi kwa nini maisha yamekua ghali sana. Click to expand... Sielewi kwanini mi mbona naona maisha kawaida tu
Poise JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 7,660 Reaction score 7,948 Jun 21, 2016 #54 Me too said: sielewi kwanini hakukuwa na juma sita na juma saba!! Click to expand... haaaaa haaa teeeh teeeh, safi sanaaa!!
Me too said: sielewi kwanini hakukuwa na juma sita na juma saba!! Click to expand... haaaaa haaa teeeh teeeh, safi sanaaa!!
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,195 Jun 21, 2016 #55 Jane Lowassa said: Sielewi kwanini umeanza na sijui kwanini wakati unapaswa kuanza na sielewi kwanini Click to expand... Sijui + Sielewi = ??
Jane Lowassa said: Sielewi kwanini umeanza na sijui kwanini wakati unapaswa kuanza na sielewi kwanini Click to expand... Sijui + Sielewi = ??
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,206 Reaction score 2,908 Jun 21, 2016 #56 Jane Lowassa said: Sielewi kwanini huelewi kwanini huelewi Click to expand... Sielewi kwa nini huelewi kwamba sielewi
Jane Lowassa said: Sielewi kwanini huelewi kwanini huelewi Click to expand... Sielewi kwa nini huelewi kwamba sielewi
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,785 Reaction score 86,503 Jun 22, 2016 #57 Jane Lowassa said: Sielewi kwanini unajitoa ufahamu Click to expand... sielewi kwann sijifahamu
kabon14 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 1,233 Reaction score 871 Jun 23, 2016 #58 Hebie said: Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu. Click to expand... Kwan kuelewa lazma ufafanuliwe au uelezwe?
Hebie said: Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu. Click to expand... Kwan kuelewa lazma ufafanuliwe au uelezwe?
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 Jun 23, 2016 #59 Sielewi kwanini ulifikiria uzi kama huu!
DMCT JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 2,276 Reaction score 5,942 Jun 23, 2016 #60 sielewi kwa.nini naandika hii post