Anza na hua sipendi.....

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
25,013
27,263
Hua sipendi tabia ya uzi kichwa cha habari ni kiswahili alafu uzi ni kingereza..
Hia sipendi mtu anaomba ushuri watu wanamjibu ndivyo sivyo....
Hua sipendi mtu anaandika uzi kiswahili anajibiwa kingereza....
Ebdelea hua hupindi nini...
 
mkuu huku stendi ni kazi maalum ndi nilikopangwa mi mwenyewe sipendi ila ndo kazi ila naipenda balaa maana ni nzuri kuliko mshahara
 
Hua sipendi mtu anatoa taarifa kama yeye alikuwepo kumbe si kweli na wakati mwingine huwa si kweli!
 
Back
Top Bottom