Anza mwaka mpya na kusamehe mara 70

mi nasamehe wote walionizulia uongo. Wewe je unamsamehe nani

mimi sera yangu itabaki kuwa ni ile ile mpaka nakufa ambapo ukiniheshimu nami nitakuheshimu na ukinizingua nami nakuzingua na daima MNAFIKI kwangu hana nafasi na nipo radhi nikae na WACHAWI 50 na MAJAMBAZI 50 kuliko kuishi na MNAFIKI mmoja ( 1 ). utamsamehe vipi mtu ambaye yeye mwenyewe kakusoea tena kwa makusudi na pengine hata akiwa na watu wengine huko ANAKUSANIFU tu? sera yangu ni ile ile tu kuwa " ukijamba " mimi " naharisha " period.
 
"..utusamehe kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.."
Tusameheane sisi kwa sisi ili tusamehewe na Mungu
 
Back
Top Bottom