Dah! umenikosha mara zote nimekuwa nikiwaza hilo lkn nimekuwa mtumwa mno wa mikopo hadi naishi kwa shida! maskini mm! labda ntaanza mwakani.
wadau fikiri suppose napata take home sh. let's say 900,0000 (i.e kwa wale wenye mapato hayo and above)
nikaamua kusave 500,000 kila mwezi(NB; kwa yule anayeweza)
kwa mwaka utakuwa na 6,000, 000.
hatupaswi kusema kuwa hatuwezi kuweka, shida ni discipline ya kujinyima na kujikubali kuishi kwa salio dogo. but if you can, unaweza kufanya wonders!!! karibuni wadau. Haya ni mawazo yangu waweza kuwa na mawazo yako pia