miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
me huwan nikisema nakupenda huwa namaanisha kwa maana hiyo nimeshapenda ila nikikuona ubebeki aisee kukuweka kapuni huku nikiumia moyo sioni tabu aisee ila kuna eneo nimekwama lakini siwezi dhuru uhai wangu...... akileta za kuleta taratibu naweka pembeni sitaki stress maisha matamu cha kujiua kisa kidudu ni nini ? vidudu venywewe majanga matupu aisee siwezi na Mungu anisaidie huwo upuuzi usijenikutamiss chaga uliwahai kupenda! acha hizi za kihuni ya true love yaani huoni wala husikii!
of course si-support kujidhuru lakini mtu yoyote kama hawi makini anaweza kufanya uamuzi wowote mbaya kwa muda wowote tu!
mwe!!!
Moment of silence please! For him!🙁🙁🙁🙁🙁
Ni kweli Blessed mapenzi hayana mwenyewe ila yanahitaji hekima peke yake kwn unaweza kufikia alipofikia jamaa, pengine wametoka mbali na ndicho kilichompelekea yeye kunywa sumu
me huwan nikisema nakupenda huwa namaanisha kwa maana hiyo nimeshapenda ila nikikuona ubebeki aisee kukuweka kapuni huku nikiumia moyo sioni tabu aisee ila kuna eneo nimekwama lakini siwezi dhuru uhai wangu...... akileta za kuleta taratibu naweka pembeni sitaki stress maisha matamu cha kujiua kisa kidudu ni nini ? vidudu venywewe majanga matupu aisee siwezi na Mungu anisaidie huwo upuuzi usijenikuta
hazimtoshi huyu jamaa kiukweli jamani ...
Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi tena,basi mshikaji akaona sio kesi ni bora ajitoe duniani asishuhudie demu wake akimsaliti,akaamua kununua sumu na cha ajabu akanunua na lita ya maziwa,akanywa sumu alipoona hali si nzuri akapiga fasta maziwa hakuishia hapo akapga makelele ya kuomba msaada,wanaume tukasogea geto kwake tukamkuta jamaa yupo hoi pembeni nusu lita ya maziwa na sumu ya panya.
Dah!Kweli mapenzi yana rani dunia.
there you are miss chaga ,kwa jinsi mambo yalivvyo sasa heri usiwe na mpenzi(whi is impossible)au uingie mguu nje mguu ndani(which is not love)
lahaullah!!!katukosesha dili,watu8 mjasiriamali wa majeneza angekuwa keshapiga dili tayari.na mwaka mpya huu,dah!!
ha ha ha angepata hata kipoozea kooo loh!!!!!!!!!
watu8 asingeshindwa hata kunitoa maji ya kunywa,dah,jinga kabisa hili limetukosesha mambo
na kweli jamaa alishakaa kwenye line ona sasa wanajitia wanahuruma wameharibu biashara za watu