Anyone who disagrees?

Tofauti ipo kidogo tu pale muhusika anaitwa nyumba ndogo, huenda akatumia less time kuliko alivyoahidi!
 
Sioni picha....msaada plz

Mwanamke akikwambia umsubiri umtoke atapitisha muda aloahidi na mwanamume akiwa anatowa ahadi ya kurudi kwake basi hatorudi kwa muda aliosema.
 

bado nasita kujibu kwa sababu sioni validity ya kauli hizi mbili...

similarity ya i will be ready in five minutes vs i will be home in five minutes!

kwa jinsi ipi viwe exactly sawa sawa??

lazima kutakuwa na variables zitakazoleta interruptions kati ya hao wawili wanaotamkiana hizo kauli..

time isnt static.. five minutes zinaweza kuwa 5 x 10 minutes.. hivyo its invalid unless uje hapa uthibitishe kwa mifano kuntu..
 
Ngekewa kafafanua vizuri kabisa....
 
Last edited by a moderator:

terrible terrible terrible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…