Anycast m3 plus na anycast dongle

Anycast m3 plus na anycast dongle

Justen12

Senior Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
104
Reaction score
91
Habari, zenu wana jf nulikuwa na kifaa cha anycast m3 plus nilikuwa natumia kwenye tv yangu ya Sunda inch 24 nilitumia kwa mda mfupi kama wiki mbili hivi ikaanza shida ya kubadilisha kibatani nikibadili hainiletei SIID wala psd kwenye Miracast baada ya hapo nikaamini huenda imeharibika ikanibidi nikanunue nyingine bahati mbaya niliagiza mtu akaniletea anycast ya dongle akasema inafanya kazi kama ile ya mwanzo but nilivyo iswich ikaniandikia no signal niliwasiliana na mtu alie niuzia akadai inafanya kazi kama ya ile nyingine wadau kwenye ujizi na haya Mambo msaada maana ndo nilikuwa nategemea kutazamia michezo mingi kupitia hiki kifaa
 
Ukiona kitu hukuielewi, basi jua mlengwa sio wewe. Hii post not for me, kila kitu kipya hapa.

Kuwa na subira, ngoja wajuzi waje
 
Poa kama hiki
JamiiForums1277205266_540x540.jpg
 
Habari, zenu wana jf nulikuwa na kifaa cha anycast m3 plus nilikuwa natumia kwenye tv yangu ya Sunda inch 24 nilitumia kwa mda mfupi kama wiki mbili hivi ikaanza shida ya kubadilisha kibatani nikibadili hainiletei SIID wala psd kwenye Miracast baada ya hapo nikaamini huenda imeharibika ikanibidi nikanunue nyingine bahati mbaya niliagiza mtu akaniletea anycast ya dongle akasema inafanya kazi kama ile ya mwanzo but nilivyo iswich ikaniandikia no signal niliwasiliana na mtu alie niuzia akadai inafanya kazi kama ya ile nyingine wadau kwenye ujizi na haya Mambo msaada maana ndo nilikuwa nategemea kutazamia michezo mingi kupitia hiki kifaa
Kwanza mkuu miracast haina mambo ya ssid hio ni dlna, hivi vi dongle vina option ya kubadili baina ya hizi. Angalia kuna button ya kubonyeza kubadili.

Na hio ya pili ina built in wifi adapter? Vyengine vinahitaji separate wifi adapter.
 
Ok, mkuu asante
 
Back
Top Bottom