Cesc Henry Sn JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 217 Reaction score 125 Mar 15, 2013 #1 HELLO! natafuta PRO anaejua ku-Jail Break PS3, ili niwe na uwezo wa kusave Cracked Games kwenye HDD yangu ya PS3
HELLO! natafuta PRO anaejua ku-Jail Break PS3, ili niwe na uwezo wa kusave Cracked Games kwenye HDD yangu ya PS3
leh JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 829 Reaction score 376 Mar 15, 2013 #2 unajua kuangalia fw yake? na ni PS3 slim au fat? umenunua lini? nina uwezo wa kujailbreak ila sio PS zote. nipe hizo details alafu nitakujulisha if possible
unajua kuangalia fw yake? na ni PS3 slim au fat? umenunua lini? nina uwezo wa kujailbreak ila sio PS zote. nipe hizo details alafu nitakujulisha if possible
Cesc Henry Sn JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 217 Reaction score 125 Nov 16, 2013 Thread starter #3 Yenyewe ni fat, nimenunua mwaka jana mwezi wa nane ni GB320