Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,291
- 96,808
Sipendi tabu mimi ๐๐Mlikimbia umande kama mimi ๐๐๐
Sipendi tabu mimi ๐๐Mlikimbia umande kama mimi ๐๐๐
๐๐๐๐๐Sipendi tabu mimi ๐๐
Tuombe aweke picha ya pochi angalau ataeleweka ....maana hiyo lugha ya meli haisomekiAaaa ko yeye ana hela [emoji3]
Shule muhimu jamani
Kwa kweli tuongee kwa picha aweke picha ya poch aiseeTuombe aweke picha ya pochi angalau ataeleweka ....maana hiyo lugha ya meli haisomeki
Money without game is useless,you need to bag a chick without money or else you won't handle a rejection just because you got money.Yani hapo anamaanisha hivi..mwanaume ukiwa na hela hutokuwa na muda wa kujielezea saaaana sijui mfupi mrefu rangi majani ya bangi na mengineyo.
Na nyie muendage shule..ona sasa vitu vidogo kama hivi vinawashinda.mkiambiwa msome hamtaki nyie mnawaza wali maharage muda wote.
Sawa ๐Kwa kweli tuongee kwa picha aweke picha ya poch aisee
Thank youAll the best.
Sasa si nitakosa mume jaman au hautaki kunicheza mwaka huuHahaa...
Huwezi amini hata ile kidogo ya shule niliyokuwa nakumbuka imeshapoteana..!!
Haha...Sasa si nitakosa mume jaman au hautaki kunicheza mwaka huu
Khaaaaa๐๐๐๐๐๐๐๐Haha...
darlings, ikishindikana kabisa nitakuchezesha hata rede..!
hatuna kazi mbovu sisi..!
Nakupenda pia sana wa kwangu Mimi na unajua, sivyo..??Khaaaaa๐๐๐๐๐๐๐๐
Nakupenda dada yangu huna baya na mimi