any eperienced person from mtwara

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Naomba kujuzwa kuhusu mkoa WA mtwara hasahasa wilaya ya newala, nimepangwa huko kukazi!
nahitaji kujua zaidi kuhusu general life experience, watu wake wanapenda ushirikiano, huduma za kujamii zipo? VP kuhs usafiri na nawasiliano nk!

thanx, yours FB
 
Usafiri ni mzuri wana Yutong mpys siku hizi ukienda kwa bus panda Machinga au Buti la Zungu wana huduma nzuri mabasi yanaondokea Temeke nauli 25oooTsh tu...!barabara ni lami tupu kasoro kipande kidogo kama km kumi hv
Maisha ya Mtwara ni ghali gesi imeleta mapinduzi makubwa mmno
 

Wewe ni ke au ni me!? kama ni ke, umekaguliwa!?
 

we hata hupajui newala mkuu. hapo unamshauri juu ya wilaya ya mtwra mikindani..
 
Nikumbushe kesho asubuhi nikuandikie mwanzo hadi mwisho juu ya wilaya ya Newala.
Navijua Vijiji vyote vya wilaya ya newala.
naijua geographia yake vizuri..

Nimewahi kuripoti taarifa kadhaa humu nikiwa Newala.
ya kwanza hii hapa.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/418502-kutoka-newala-mkuchika-na-wana-newala.html

afu kuna hii hapa pia.

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/394579-newala-kuna-shimo-la-mungu.html

kijana we kama unahitaji habari ya newala nishtue kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…