ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Billy Carson amestreamline mambo mengi sana juu ya akili ya Africa tumfuatilie jamaa......
duu mwamba kumbe unampata huyu mdau daa kweli Bongo wenye
kufuatilia madesa mpo wengi sana,
nastaajabu maana Billy ni my best friend na ni kama my Blood tulifahamiana long time kipindi natafuta info kuhusu haya mambo,
mkuu tupo pamoja sana umenikosha na kweli JF ni kichaka kikubwa sana!
 
Naam! Jamaa yupo vizuri kwenye pembe ya kuueleza ukweli juu ya Afrika
 
Mada nzuri sana na fikirishi....Kuna article nliisoma sehem inasema hata Ellon Musk ni allien...kwangu it's just a rumour ila nlitaka kujua zaidi kama Kuna mdau kaweza kuchimba deep hili suala!! Ninasoma
No Musk sio Allien ila ni mwamba alianza kufuatilia haya mambo ya Accient Civilization
akajikuta amekua crazy juu ya hidden history mwishowe akajikuta amepata idea mbali mbali
vile vie Nikola Tesla aliweza kugundua umeme wa AC huu tunaotumia baada ya kuanza solve codes za mahesabu zilizokutwa kwenye tablets za khemet na ma Pyramids
kuna siri nyingi juu ya dunia ya kale mkuu nikianza kuelezea baadhi hapa tutakesha!
 
Naam! Jamaa yupo vizuri kwenye pembe ya kuueleza ukweli juu ya Afrika
hasaa jamaa yupo vizuri sana hakuna kitu kizuri kama mtu kujitambua yeye ni nani
hiyo inakupa ujasiri sana mfano mimi kuna mambo kwenye hii dunia nayachukulia kwa jicho
la tofauti sana hasa juu ya hii tech na maendeleo ya mwanadamu nipo deep sana kujua legacy
ya Africa ya kale!
 
mkuu hii mada ina sehemu kuu mbili kama utakua umesoma kichwa cha mada ni nadharia iliyowaangazia anunak na hii mada ni ndefu nilishindwa kuendeleza kutokana na majukumu so nilitaka kuja na mada ya kuwaelezea hawa viumbe kwa upande wa pili kama divine being hii mada niliitengeneza kimtego sana nikianza kwa kuwaelezea Anunnak kama viumbe wa kawaida ila sasa nataka kuwaelezea kama Divine beings maana kwa picha ya kawaida watu wanashindwa kuelewa spiritual power inavyooparate Ulimwengu unaoonekana na usio onekana na ndio maana toka mwanzo sikutaka kuweka mambo hayo nisije kuchanganya mambo pia nilitaka watu wawe huru kujadili na kutoa maoni bila kuingiza mambo ya imani zao na mapokeo maana ni kweli hawa viumbe wameelezewa na old Bible kama Fallen Angel au Watchers na watu wengi hawajui story yao in deep na haijaelezewa kwa undani zaidi ya kugusia tu kidogo
mkuu tuvumiliane nitakuja na mwendelezo kwa kina!
Tuna subiri mkuu
 
Muziki ndiyo sauti ya Dunia kwa Sasa Rasheed Jamal ameutumia mkabala huu ambao unamulikwa sana na walioona mwanga ila wasiotaka wengine kuona...."allegory of the cave"
 
hasaa jamaa yupo vizuri sana hakuna kitu kizuri kama mtu kujitambua yeye ni nani
hiyo inakupa ujasiri sana mfano mimi kuna mambo kwenye hii dunia nayachukulia kwa jicho
la tofauti sana hasa juu ya hii tech na maendeleo ya mwanadamu nipo deep sana kujua legacy
ya Africa ya kale!
Mkuu@Dumas the terrible, namna ulivyokuwa unawateea anunaki lakini sasa unamuamini kristo ni jambo linalostajaanisha.natamani kusikia ushuhuda wako!!
 
Mkuu@Dumas the terrible, namna ulivyokuwa unawateea anunaki lakini sasa unamuamini kristo ni jambo linalostajaanisha.natamani kusikia ushuhuda wako!!
Haahahaa pamoja mkuu tutasomana now nipo deep kwenye kufuatilia vitu Spirituality
na nimezamia huko baada ya kumaliza historicaly Na kukuta bado hakunipi majibu ya kuridhisha nikaamua kuingia site kuchimba kipi ni kipi nikajikuta nimeingia dimension ya ulimwengu mkubwa ambao sio huu wa kawaida na unaotawala vitu vyote,
Nimekuja kujipata nipo na mambo makubwa kuliko
yale niliyokua nayajua yaani mwanzo nilidhani Maji ya dimbwi ni Mengi kuliko yote mengine kumbe nisijue kuna Bahari!
 
Budda hakuna maandiko ya moja kwa moja aisee maandiko yao yanafanyiwa tafiti na taasisi mbali mbali za kihistoria hivyo kwa sisi matomaso hua tunaingia vyanzo mbali mbali kuangalia update maana majamaa kila siku yapo site yanaleta uptadate vipande vipande hivyo inabidi kusoma vyanzo mbali mbali vinavyo fanana na uconnect dot ndio uelewe la sivyo unaingizwa chaka na hutaelewa moja kwa moja maana haya mambo ni mazito na yanachanganya usipokua smart na inteligent kichwa kitapasuka,
pia kuna mambo mengine hua nashindwa kuweka wazi au kufunguka maana vyanzo vya taarifa ni watu wanaoaminika na ni secret service ambao nimebahatika kua na acces nao kutokana kua mdau mkubwa wa mambo hayo,
pindi nikiweka hapa hao wapuuzi UNESCO &CO bado hawajajua baadhi ya siri nyingi za Dunia ya kale hua wanafuatilia kwa karibu machapisho kama haya kujua ukweli ili waufiche kubalance mass heisteria wanajua historia za uongo na mchongo walizodanganya watu kwa miongo mingi zitafichuka hivyo kusababisha watu kuanza kuhoji baadhi ya mambo mazito,

kipindi naanza hii mada mwanzoni tu nilifunguka baadhi ya code kadhaa ambazo hakuna pimbi mwingine angejua ila maajabu nikaona machapisho huko UROPA kwenye channel za YOUTUBE majamaa yamecopy na kuanza kufanyia utafiti maana sikuandika humu JF ni kwenye mtandao wa kufuatilia mambo kale majamaa yakaanza nisaka kwa udi na uvumba na unajua tech ni ndogo nikaona yatanifikia huku nikamute long time nimerudi juzi juzi tu hapa!

sitaki nongwa!
we jamaa bana
 
No Musk sio Allien ila ni mwamba alianza kufuatilia haya mambo ya Accient Civilization
akajikuta amekua crazy juu ya hidden history mwishowe akajikuta amepata idea mbali mbali
vile vie Nikola Tesla aliweza kugundua umeme wa AC huu tunaotumia baada ya kuanza solve codes za mahesabu zilizokutwa kwenye tablets za khemet na ma Pyramids
kuna siri nyingi juu ya dunia ya kale mkuu nikianza kuelezea baadhi hapa tutakesha!
Mkuu lete vitu tupate elimu
 
Back
Top Bottom