mbeyaboyfrancy JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 248 Reaction score 91 Jun 7, 2016 #1 Habari wakuu ipi antivirus nzuri na inayofanya kazi ipasavyo katika smartphone zetu
G golota JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 538 Reaction score 157 Jun 7, 2016 #2 hazina maana hizo
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,702 Jun 7, 2016 #3 Hakuna,usidanganyike na hizo apps wanazotangaza. Weka antivirus kwa ajili ya features kama lock,find your phone,etc ila sio kuzuia virus.
Hakuna,usidanganyike na hizo apps wanazotangaza. Weka antivirus kwa ajili ya features kama lock,find your phone,etc ila sio kuzuia virus.