Antivirus ipi ya android ni nzuri??

shangwe1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
446
355
Habari zenu wakuu,,,,,,naomba kujua wakuu nitumiee antivirus ipi ya simu aina android phine ni nzuriii?? Msaada jamani
 
Me najuaga android hazihitaji antivirus hii aliisema meneja wa android company
nikweli zipo virus zinazoshambulia ANDROID ILA SI KAMA KWA COMPUTER KUHIDE DATA,KUDELETE ,NK MOST NI KUCRACK SOFTWARE........ USIROOT SIMU KAMA HUNA KARI NA ROOT PERMISSION
 
Tumia eset mobile security & antivirus hii itakusaidia pia ktk kuilinda simu yako na wizi maana ina anti-theft
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom