Antivirus ambayo ni bora


Hiyo ya kusoma review huwa naizingatia.
Ila hiyo ya kuwa na App ya flash light sijaizingatia sana.
 
Basi mpaka apo naona antivirus nzuri ni ile inayoweza kukunotify kwamba app flan inahitaji permission flani afu ikupe option yakukataa or kukubali,, pia kwa upande mwingine app katika kuidownload playstore unaweza ukaona permission hazina tatizo afu katika update ya io app wakatoa update yenye malware kibao ..wengi mojawapo mimi twapenda option ya update all ni ngumu kujua permission mpya...hiyo app kama ipo itakua ndo best!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ