Wadau heshima zenu. Ninatatizwa hapa, nilipewa na mtu protection inaitwa e-scan ila akanambia hakuwa na updates kwa muda huo. Nilikuja ku-install, nikajaribu ku-register ikaleta error fulani na kila nilipoingiza keys kwa mara nyingine ikawa inanmbia registration keys already valid. Nafanyaje tena hapo?