Sighing
Ni bora hata ya wanyama....maana binadamu wamekuwa ni dhalili zaidi.
Dada/mama..kwa nini u provoke kwa unusu au u robo tatu uchi?Kaka/baba ..kwa nini uangalie sana hadi uwe taabani.?Walio oa ..ukitamanishwa nje rudi kwa mkeo faster.....huyo uliomuona nje ,anacho kile kile ambacho mkeo anacho..ni physical temptations tu zinazosumbua,but at the end of the day pleasure ni ile ile tu.
Kwa wasioa....jishughulisheni sana katika shughuli za maendeleo,epuka peer groups mbaya,fanya mazoezi,ukiweza.. punguza kula kupita kiasi(au funga katika baadhi ya siku za wiki kwa wale wanaoamini) ili kupunguza shah'wa(matamanio)
I'm afraid...the rapists wakijua hii janja ,the first approach itakuwa ni kunyofoa hiyo "disgusting" condom