Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,999
- 104,331
Wanabodi huwa sina kawaida ya kucopy mabandiko ya watu huko Facebook na kuyaleta hapa, ila alichoandika leo RC wa Simiyu rafiki yangu Anthony Mtaka kimenigusa na kuona nilete hapa maandiko yake huwenda yakawaponya wale wenye viburi wapo humu na wanajijuwa vyema walivyoota mapembe.
Anaandika Anthony Mtaka......
NIWAKUMBUSHE TU KWAMBA CHEO NI DHAMANA,WALIKUWEPO KABLA YETU NA WATAKUJA BAADA YETU-MAISHA NA LUGHA ZA Mh.Mbunge wa Mbozi(wakati wa uongozi wa awamu ya tatu) ENZI NIKISOMA CHUO CHA UALIMU MARANGU KWA MKUU WETU WA CHUO WA WAKATI HUO Israel Eliamringi- ZILINIFUNZA SANA MPAKA LEO.(Mlio na Dhamana epukeni sana kubeba hivi vyeo mabegani(Nimewaza tu kwa sauti nikiwa Hapa GAMBOSHI BARIADI)