Anthony Mtaka, Mwanri wanafaa Dar

Magufuli hapangiwi.Kwani hakuwaona mwanzo?Tunamtaka huyo huyo Makonda
 
Mwanri anaongea sana bila vitendo
Jiji hili ni gumu aliliweza KEENJA NA MWAIBULA TU
 
Kwani jamaa tayari amefyatuliwa?Au Dar itakuwa na wakuu wawili..Mmoja we kuchapa kaaz he mwingine wa muvi za shilawadu?
 

Kwani Makonda unampeleka wapi?? Haondoki Dar mpaka Rais atakapoamua!
 
Acheni viherehere, rais hapangiwi na keshasema! Makonder ndo RC wa Dar, hutaki nenda kwa mwanri tabora.
 
Naletwa mimi niwakomeshe wadar es salaam. Mmezoea poo, nitawaua uwiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…