Anthony Diallo unamjua huyu?

Anthony Diallo unamjua huyu?

Sesimba

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
189
Reaction score
383
Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.

1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?

2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?

3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?

Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmmh mbona kama kuna mtu alidedishwa apo
 
Hapa kuna jambo. Ni tag ukiendelea na hadithi.
 
Ulieanzisha uzi huu yawezekana ulikuwa bado upo usingizini au umeandika kitu usichokijua, nakushauri pitia tena yale uliyoyaandika halafu rekebisha, vinginevyo umekurukupuka bila kujua unachokiandika. je unahakika kama Ndugu Anton yupo kwenye Jf? kama huna uhakika hayo yatakuwa ni majungu kumzungumzia mtu asiyekuwepo katika mtandao huu.
 
Back
Top Bottom