Nimemnunulia jirani yangu kisimbuzi cha startimes leo ila baada ya kuwapo na taarifa kuwa kuna madish yanakuja tukafikira kuachana na mpango wa kununua anterna kwa kupunguza gharama ,nimekuwa na wazo la kuunga kichwa ambacho kitakua na matoleo mawili kusudi tutumie anternal moja kwa visimbuzi viwili je wadau kuna uwezekano huo??????????
shukrani zangu za dhati.