Antenna katika king'amuzi cha continental

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
345
Reaction score
463
Jamani naomba msaada kwa anayefahamu,

Niko Dar natumia Digital TV ya Samsung yenye decocorder ya continental ndani(fully built), kwa hiyo inaniwezesha kuangalia chanel zote za king'amuzi cha continental bure kabisa kwa kuunganisha na antenna tu bila haja ya dish wala kingamuzi cha nje.

Swali, Je inawezekana nikaitumia TV hii hadi mikoan kwa kutumia antenna tu bila ya dish, kwa mfano mkoani RUVUMA.

MSAADA KWA ANAYEFAHAMU TAFADHALI
 

Sijajua kama teknolojia ya DVB-T/T2 inafanya mikoa yote
ambacho ningekushauri uwapigie Continental wenyewe uwambie nina kingamuzi chenu cha Antenna je Mkoani Ruvuma ntapata Signal?

or less nimewahi sikia hapa watu wakisema T2 boxes za startimes zinabagua mikoa kutegemea na model hivo yakupasa na wewe kuuliza hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…