Na baadhi ya wana JF wana fikiri kama CCM
Hutumiaga Masaburi kuwazaNa baadhi ya wana JF wana fikiri kama CCM
CCM=Masaburi= Makalioccm oyeeeeee,solidarity forever.
Tatizo la CCM wanafikiri kwa kutumia masaburiccm oyeeeeee,solidarity forever.
ccm oyeeeeee,solidarity forever.
Ndugu wanajamvi,
Ansbert Ngurumo anasema kwamba katika baadhi ya maeneo nchini, CCM imegeuka tusi miongoni mwa vijana. Ukimuudhi mtu siku hizi, akakosa tusi la kistaarabu dhidi yako, atakwambia 'Muone, kichwa kama CCM'.
Source:
http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=36022
Gazeti la Mbowe hilo linafanya kazi za chama.
Huyu naye waandishi wakiitwa atatoka?
Arrogant and incompetent
Huyu naye waandishi wakiitwa atatoka?
Arrogant and incompetent