sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
MY INFERENCE TELLS ME MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA MAHIRI NA MSOMI WA FALSAFA AMEMFAGILIA LOWASSA KWA MARA YA KWANZA KWENYE MBIO ZA URAIS 2015....SOMA HII LINK
Hatutaki gunia hili la Kinana
nyerere alituuzia mbuzi kwenye gunia, mkapa the mr clean!
Nadhani ni mara yako ya kwanza kumsoma Ngurumo na laiti ungekuwa ni msomaji wa makala zake wa siku nyingi wala usingediliki kusema hayo uliyoyasema kuhusu Lowassa kwani Ansbert ni mpingaji nambali moja wa mafisadi wa sampuli ya Lowassa!!
Mkapa is the best president this country has ever had despite his few mistakes
Ansbert hapo mkuu unapoteaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa au unalipwaaaaaaaaaaaaaaaa ??????????????katika watu waliopata pesa haraka tofauti na Azimio la Arusha angalia Google The 10 Richest men in TZKama Lowassa ni fisadi naomba ushahidi kuwa aiba wapi na sh ngapi