My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Mkuu humjui huyo mpuuzi hadi unamjibu?unamjua bana. Ni muandishi mzawa mzalendo wa habari za kichunguzi ambaye aliwanyima nakuwanyima usingizi kwa kuandika ukweli kuwahusu kwa mustakabali na manufaa mapana ya taifa letu.
Ni kama tu Jamal Kashoggi wa Saudia bila kudra za mwenyezi Mungu hadi Finlend ikampa hifadh angeokotwa kokobeach. Angalia mlichomfanyia Azory
Wewe kwa porojo tuMzuqa
Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.
Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.
Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.
Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.
Awe vigilant tu ansbert
lakini ubalozi wa Tanzania nordic na ukraine hupo Taby Stockholm hata consulate tu haipo finlendNgurumo haishi sweden anaishi finland
unapopewa asylum kuna refugee passport unapatiwa ana alien passportKuna kipindi nimewaza hivi akitaka kurenew pass inakuwaje
OK nimekusomalakini ubalozi wa Tanzania nordic na ukraine hupo Taby Stockholm hata consulate tu haipo finlend
Pamoja mkuu👊OK nimekusoma
Yule mwiimbaji wa msondoNdo nani huyo Ngurumo?
Stockholm ndiyo wapi??? Aliyekwambia yupo Denmark ni nani??Mzuqa
Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.
Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.
Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.
Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.
Awe vigilant tu ansbert
Baba sehem gani nyarugusu.Niko nyarugusu mkuu
Ndo nani huyo Ngurumo?
Wamemuuwaje kashogi?Kwakweli yatamfika kama Yale ya yule Muandishi wa saudia.. Mr Jamal Kashoggi .. comred amefariki vibaya sana Yule
Kitengo unataka kummaliza hata mleta uziWe uko wapi dogo?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwandiko umenikoshaMzuqa
Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.
Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.
Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.
Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.
Awe vigilant tu ansbert
Mzuqa

Acha ungese ww mambo hayo Sverige hakuna na atakayejaribu hatoki.lakini ubalozi wa Tanzania nordic na ukraine hupo Taby Stockholm hata consulate tu haipo finlend
Uyo ngurumo kila akijaribu kutafuta kiki zinagoma. Mwishoe namwona akirud nyumban kula ugali na maharagwe.Mzuqa
Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.
Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.
Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.
Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.
Awe vigilant tu ansbert
mwili wake ulikatwa katwa vipande vipandeWamemuuwaje kashogi?
Safi sana mkuu. Wakati wa kurudi kama utapitia hapa Kipalapala Tabora jitahidi uniletee hata zawadi ya kipande cha dhahabu mkuu! 😂😂😂😂Niko nyarugusu
mkuu