Ansar Sunna wal-jamaa, leo wameungana na waumini wengine kuadhimisha sikukuu ya Eid El-Hajj

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Waumini wa Dini ya Kiislamu Madhehebu ya Ansar Sunna wal-jamaa leo wameungana na waumini wengine Duniani kuadhimisha sikukuu ya Eid El-Hajj kufuatia kukamilika kwa Ibada ya Hijja mjini Makkah Saudia Arabia, ambapo jana mahujaji walikuwa katika viwanja vya Arafa.
2736ec95fa132c3f2065256dc5b851d8.jpg

Yono vibe
 
Back
Top Bottom