Napenda nimtakie HERI YA SIKU YA KUZALIWA wifi yangu mpendwa marejesho
Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha tele siku zote za maisha yako
nb;-Forever young and good-looking. That's all i wish you for.
View attachment 106904View attachment 106905
karibuni tumuongezee maisha dada yetu kwa kumtakia kheri
copy kiwatengu TheDealer Lady doctor figganigga charminglady Erickb52 Mr Rocky Baba V Excellent Kaizer Mamndenyi watu8 Judgement Bishanga Fixed Point Asprin Filipo mimisa Arushaone Chocs kabanga KOKUTONA King'asti nitonye Passion Lady na marafiki wengine wote mkaribie kula keki
hb Marejesho
marejesho heri ya siku yako hii njema ya kuzaliwa
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani na siku yako hii njema ikawe ya furaha
naomba niwe kwenye kamati ya vinywaji please
kuna kadogo kangu kamoja hivi kakorofi kidogo ngoja nikatafute tushirikiane nako kwenye kamati grafani11 hebu njoo kwenye kamati huku ya vinywajiNataka kulewa 'lewa'