VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Baada ya Paris Saint Germain(PSG), Arsenal na Bayern Munich, huko Hispania, timu ya ATRETICO de MADRID yasaini mkataba na serikali ya Rwanda pia, kuitangaza VISIT RWANDA.
Neno VISIT RWANDA,
-litaonekana kwenye nguo za mazoezi za Timu hiyo ya wanaume na ya wanawake
-Litaonekana kwenye nguo za warm up kabla ya mechi
-litaonekana mgongoni kwenye nguo wachezaji wanazoingia nazo uwanjani
-litakuwa linaonekana kwenye uwanja wa Riyadh Air Metropolitano stadium.