Mkuu tuje kwenye huduma ya switch on labda sijajua kwako lakini watu wengi tunalalamika sio unlimited kwa sababu kila ikifika mda inakata ukiunga tena inakubali ndo maana watu wanasema sio full unlimited wengine wanasema ikifika 1gb inakata sijuhi hili unasemaje

Mkuu inakata sababu unaunga na computer, unatumia simu kama hotspot/modem, wakati hivyo vifurushi ni kwa ajili ya matumizi ndan ya kifaa husika either iwe smartphone, normal phone au tablet
Cha kufanya waweza download utorrent from google store kisha movie ukashusha kwa kutumia simu kama we ni muhumini wa Android
In this world nothing is certain than Tax and Death.