Utakuwa hukuitumia vizuri ndio maana unaiandika vibaya. Hakunaga kama masturbation nawaambia.
Masturbation ina-save time, kwani hupotezi muda kwenda kumtafuta mwenzio kwa ajili ya ku-do.
Masturbation ina-save money. Time is money. Hapo juu unakuwa ume-save time, hivyo utakuwa ume-save money.
Lakini pia kwa wale wasio na ndoa au wenza wa kuishi pamoja, masturbation inapunguza gharama za kusafiri au kulipia mahali pa kukutana na huyo mwenzako wa ku-do naye.
Masturbation ni huduma unayojipatia wakati wowote unapojisikia kuhitaji. Hupati usumbufu wa kutoa sijui taarifa kwa mwenza, au sijui mpaka umuandae mwenzio ili na yeye afurahie tendo....hii ni wewe tu unajipia faster na kumaliza.
Masturbation ni kinga dhidi ya maradhi ya zinaa na VVU.
Masturbation ni njia ya uzazi wa mpango kwa wale msiojua. Lakini pia inasaidia kuzuia mimba zisizotakiwa, hii ni kwa wale wenye tabia ya kufanya mapenzi hovyo hovyo.
Dahhhh.......
Ngoja nikapige masturbation kimoja kwanza ndo nije kuongezea points......