Safi sana.Halafu mktaba wa siri ambao serikali ya Gomes iliingia na Angola inabidi uwekwe hadharani. Ukibaraka ni mbaya sana,jeshi la Guinea Bissau kweli ni la Wananchi.
Demokrasia ya kinafiki inapoleta vibaraka na wezi,ni lazima option number 2 itumike.Najua wanafiki wa ECOWAS watasema sana na hata AU lakini hiyo ni club ya viongozi wabovu na wengi wao ni vibaraka wa mabebru period!
Sasa jeshi liandae modality ya democratic institution baada ya kuunda serikali ya mpito.Ihakikishe mahakama imara,Bunge lenye meno.Tuanze upya