Jamaa yupo sana 'anadanga' kivingine huko..ID imeunganishwa kutoka Husna hadi Erick otieno
Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha - JamiiForums
Jamaa yupo sana 'anadanga' kivingine huko..ID imeunganishwa kutoka Husna hadi Erick otieno
Nashukuru Mungu sikulifuaata pm hili janaumemoyo wako ntaulinda nipe tuu
Hahahaha husna kawa ErickNashukuru Mungu sikulifuaata pm hili janaume
Eeh baba mungu utukuzwe
Nadhani umekuja wakat mujarab, meet the boss G' Extrovert!
Uzi mpaka umenileta huku
Hahahaha itakua walimalizana pm hukoHivi ulirudi hapa lakin?
Kila siku nitayasimulia matendo makuu ya bwanaHahahaha husna kawa Erick
HakikaaKila siku nitayasimulia matendo makuu ya bwana
Hili likiwemo
Lete RV toto wapi hiyo?Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!
Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.
Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.
Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.
Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
View attachment 530266 View attachment 530267 View attachment 530268 View attachment 530270
fb zaido.Hodi humu!

Nashukuru Mungu sikulifuaata pm hili janaume
Eeh baba mungu utukuzwe
Hivi Shem na wewe unapitaga hizi pande?Lete RV toto wapi hiyo?