Another bomb shell loading.... Gwajima is about to push the button!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,015
Reaction score
828,775
Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"

Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa kisheria wa kufuta ama kuondoa, na kwakuwa ni kesi yenye vinasaba vya kisiasa mchakato wake unaweza kujaa mizengwe

Kuna mambo yanaweza kufanyika kimyakimya nyuma ya pazia na hilo jambo likaisha juu kwa ju! Ama pastor akabaki na msimamo wake na kuwa janga lingine kwa ccm baada ya lile la polepole

Muda ndio utasema kama atafuata nyayo za Polepole ama atabadili gear angani
 
I trust you Gwaji drop the bomb
 
Una fikra finyu mno.

Gwajima anamtetea Lissu. Polepole anamtetea Lissu. Wote hao ni watetezi wa taifa.

Nakushauri sana uwe unafanya mazoezi ya viungo kila asubuhi & jioni ili kuimarisha afya yako kiakili.
Huyo kilaza sidhani kama hakuwa na utapiamlo utotoni, maana si kwa kukosa akili kiasi hicho.
 
Yeye Gwajiboy atujulishe aliyehusika kumuua Mwendazake.
 
Nchi haiwezi kutishwa na makataa ya mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ