Anointing Water ya TB Joshua

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
Jaman majaribu na majanga yamenichosha, nitayapata wapi haya maji ya baraka ya TB Joshua?

Tafadhali nisaidieni!

Best Regards
 
Kwa nini usiombe roho mtakatifu akuonyeshe pa kutokea mpendwa!!?mi nahisi kama unataka kuongeza matatizo vile!!Hebu tulia na roho mt vizuri
 
Jaman majaribu na majanga yamenichosha, nitayapata wapi haya maji ya baraka ya TB Joshua?

Tafadhali nisaidieni!

Best Regards
Mungu yupo karibu nawe kuliko wakati wowote mwingine. Mwite kwa imani wewe mwenyewe atakuitikia
 
Ukiyapata na mie nipe kidogo na mie nataka niwe na Mansions masaki,oysterbay na mikocheni pia niwe na scania 10 range rover vogue na sports 6,viwanda viwili cha maji na mabati na ndege moja tu za fast jet.
 
Kwa malengo yako haya unahitaji dumu zima, inakubidi ufunge safari Nogeria
 
Kupitia hayo majaribu, Mungu anakuandaa kukupa kitu kikubwa sana.
Hata Yesu aliandaliwa kwa majaribu kabla ya kuanza kazi kubwa ya kuhubiri.

Endelea kumtegemea Mungu, usimuache.
 
Comment nyingine ukizisoma zinakuzidishia imani
 
Jaman majaribu na majanga yamenichosha, nitayapata wapi haya maji ya baraka ya TB Joshua?

Tafadhali nisaidieni!

Best Regards

mimi namwamini sana Tb Joshua ni Mtumishi wa Mungu,lakini tusivuke mipaka saaaana kumwamini sana binadam,mwombe Mungu atakusaidia kama maji yapo tumia vilevile ila weka matumaini yako kwa muumba
 
Fanya ibada kwa jitihada mkuu hakuna kinachomshinda mungu na utapokea uponyaji wako!!
 
Sasa watu mmeamua kuamini maji ya tb joshua hamumuamini tena mungi dahhh dunia ndo inoshilia hivyo
 
Sasa watu mmeamua kuamini maji ya tb joshua hamumuamini tena mungi dahhh dunia ndo inoshilia hivyo

Ni ngumu sana kuendelea katika nchi ambayo sijui watu wake wanatumia mat.ako kufikiri! Mtu kama huyu kakakurupa kukoment bila kujiuliza tu hata kodogo mambo yafuatayo:+
1. Mafuta ya TB Joshua yanatoka kwa imani ya shetani?

2. Yameombewa?

basi! kuna miujiza mingapi ya kishetani inatangazwa? ningekuwa na imani ya kishetani kisingeenda? kwanini nafuata maji haya pekee? Jibu ni moja tu, Kuna Mungu ndani yake!

Tumia akili yako vizuri kuwaza na kuandika, pu.mbafu sana
 
Angalieni hayo maji msiyageuze sanamu mkawa mnayaabudu.
 
duuuu?
 
Majaribu2013 Hii Imani Uliyonayo Juu Ya Breakthrough Kupitia Anointing Water,Itumie Kuomba Kwa Imani,"IN JESUS NAME"
 
Last edited by a moderator:
Jaman majaribu na majanga yamenichosha, nitayapata wapi haya maji ya baraka ya TB Joshua?

Tafadhali nisaidieni!

Best Regards

Du fikiria kwanza mkuu, hao wa-Nigeria wenyewe matapeli tu mtandaoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…