Anniversary

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Mwezi ujao tunatimiza miaka mitano ya ndoa na my lovely wife wangu. Je nifanye nn kizuri kama kumbukumbu ya hii siku. Naomba ushauri nifanye nini kizuri kwa mke wangu na familia yangu kwa ujumla sitashirikisha watu wengine kwa hicho nitakachokifanya
 
CHA KWANZA KWENYE HIYO GEPU UNGEMUWEKA MKEO NINGEKUFURAHIASANA JINSI GANI UNAVYOTAMANI KUMUONA MARA KWA MARA VINGINE TUTAORODHESHA

funzadume
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
 
Kaama uko kibaruani kama wakina pdydy
mwisho wa mwezi wa shugulii toa mshara wako wote weka kwenye kanga nzuri tafuta henkachief nzuri na perfyum nzuri tu juu yake funga na makadi na mengineyo juu yake weka biblia ikiwa na picha kubwa ya harusi kama mlioana kanisan ama msikitini

samahan kisheria ukikaa na mtoto wa mtu miaka miwili huyo ni wako yaani ndoa kamili ndo maana nkasema hapo juu..lakn najua kijana ulikiri mwenyewe..baada ya hapo nendeni kwa wazazi wenu wote wawili kama wapo dar mkashukuru kwa kuwatunza na huku mkiwa na shati/suruali nzuri na viatu kwa baba ama upande wa mama kitambaa cha kushona kanga herreni na viatu vyao kaama age waweza mtafutia dingi zile juu nibanie chini niachie watakuheshmu kuliko kumpelekea ma suti
 
naogopa kuweka picha yangu hapo maana kila mtu akiniona atapata kinyaa si unajua funza sipendwi
 
Na kama ni mkristo na amjaenda kanisani basi muda muafaka sikumoja kabla nenden mkaombe wachungaji wabariki ndoa yenu asikudanganye mtu akuna raha kama kuishi kwenye ndoa wee..usimguse MUNGU
 
heee leo nimewaweke topic yenu ya roho za kuataliwa na jinsi gani ya kujitoa ..kataa roho chafu unatakiwa upendwe na si kupendwa na mkeo tu.....aaaakhhhhaaaa tupe ya mkeo yako utawekewa bday ya JF
 
Kaama uko kibaruani kama wakina pdydy
mwisho wa mwezi wa shugulii toa mshara wako wote weka kwenye kanga nzuri tafuta henkachief nzuri na perfyum nzuri tu juu yake funga na makadi na mengineyo juu yake weka biblia ikiwa na picha kubwa ya harusi kama mlioana kanisan ama msikitini

samahan kisheria ukikaa na mtoto wa mtu miaka miwili huyo ni wako yaani ndoa kamili ndo maana nkasema hapo juu..lakn najua kijana ulikiri mwenyewe..baada ya hapo nendeni kwa wazazi wenu wote wawili kama wapo dar mkashukuru kwa kuwatunza na huku mkiwa na shati/suruali nzuri na viatu kwa baba ama upande wa mama kitambaa cha kushona kanga herreni na viatu vyao kaama age waweza mtafutia dingi zile juu nibanie chini niachie watakuheshmu kuliko kumpelekea ma suti
ushauri ni mzuri sana ila sitaki kushirikisha watu wengi nataka kwa familia yangu yaani mimi, wife na watoto tu hela sio issue kivile tatizo nifanye nn kusherekea miaka mitano ya ndoa halali ya kidini? ila ushauri wako nimeuchukua didy sema kibofya cha senksi sikioni ila "senksi"
 
Na kama ni mkristo na amjaenda kanisani basi muda muafaka sikumoja kabla nenden mkaombe wachungaji wabariki ndoa yenu asikudanganye mtu akuna raha kama kuishi kwenye ndoa wee..usimguse MUNGU
Nimeoa kanisani na uwa naenda kila j/pili na nina cheo kizuri tu church kiasi kwamba nisipoenda mambo yanakwama
 
heee leo nimewaweke topic yenu ya roho za kuataliwa na jinsi gani ya kujitoa ..kataa roho chafu unatakiwa upendwe na si kupendwa na mkeo tu.....aaaakhhhhaaaa tupe ya mkeo yako utawekewa bday ya JF
sasa kaka kwenye profile yangu mke wangu anahusika nn? samahani w/end ulikuwa kiwanja gani (nahisi una hang over)
 
haaahaaaaa nilikuwa kanisan ndugu yangu si unajua viwanja vishakanyagwa na kila mtu bora tuingie hivi wanavyoviogopa kukanyaga na wakigusa mara moja jumapili msalimie mpe hongera zake kama namjua vile shemeji yangu
lazima atakuwa mtumishi wa Bwana mpakwa mafuta ...ujaokoka bado na uko na mpendwa
 
mie nimeokoka ni pure mlokole na uwa natoa fungu la ten bila kukosa
 
Nimeoa kanisani na uwa naenda kila j/pili na nina cheo kizuri tu church kiasi kwamba nisipoenda mambo yanakwama

umekuwa altare ndugu!....badilisha hali ya hewa, tengeneza ka trip kidogo, muende mahali mka enjoy, mbuga za wanyama etc...
 
hapana nawasaidia kazi flani hivi za kitaalamu, wazo lako zuri sana ngoja nisikie wengine
 
Mwezi ujao tunatimiza miaka mitano ya ndoa na my lovely wife wangu. Je nifanye nn kizuri kama kumbukumbu ya hii siku. Naomba ushauri nifanye nini kizuri kwa mke wangu na familia yangu kwa ujumla sitashirikisha watu wengine kwa hicho nitakachokifanya

Achana na n.k. kwenye anniversary, hiyo ni yenu wawili. wanunulieni tu soda, hakikisheni wanapika pilau n.k. mtoke kabisa maeneo ya nyumbani. ni siku yenu ya kujadili mlikotoka na kupanga the way forward (ya mapenzi yenu)
 
Back
Top Bottom