Anne Semamba Makinda's Profile!


Si kweli kama hakujiendeleza..yeye ni miongomni mwa watu wa mwanzo mwanzo sana kupata CPA hapa nchini.
 
msomi ni mwenye elimu ipi? we mtulutumbi vipi? labda useme wangemweka mtu msafi na mwenye msimamo ingekuwa vigumu kumkontroo, usiseme msomi kama ni usomi yeyote mwenye elimu ya juu ni msomi.anyway, mtulutumbi maana yake nini?
 
Nawashukuru kwa kuleta cv ya anne makinda, naomba anayejua historia yake vizuri atueleze je speaker wetu ana mume na je ana watoto?
 
Jamanieeeeeeeeee huyu shagazi yangu hebu mwacheni hiyo ndio mboni ya ccm
 
kwa mara nyingine, natambua dhahiri ccm na makada wake ni watu wahovyo.
 
Asante sana nikutaka kufahamu biography ya spika mpya! Ana watoto wangapi vile? Jina la mume ni vizuri pia kulijua! Si unajua tena ameisha kuwa kioo cha jamii. Hongera zake


stick with the topic ukishaambiwa alafu itasaidia nini?.......well ni spika now..hureey big ups to Nyalu land and mwanamke wa kwanz akuwa speaker you rock aunt Anna me love you long time...

Na ww masanilo from now on you are banned kuingia Njombe...
 
Ukiona mtu kama huyu mwenye uhusiano na MAFISADI jua kuwa kuna jambo

1. IKULU ipo under remote control ya mafisadi
2.NOW Bunge under remote control ya mafisadi
3.NEXT is Tanzanian under remote control ya mafisadi
Na TAKUKURU,usalama wa taifa pia under remote control...in fwakti mafisadi wame-capture every power available....yaani inatisha!!!:doh:
 

CV inaonyesha kuwa kila sehemu anayoshiriki kuiongoza inakufa (Angalia mashirika aliyokuwa mjumbe wa bodi). Tutarajie nini katika bunge lijalo?

Marital status?
 
stick with the topic ukishaambiwa alafu itasaidia nini?.......well ni spika now..hureey big ups to Nyalu land and mwanamke wa kwanz akuwa speaker you rock aunt Anna me love you long time...

Na ww masanilo from now on you are banned kuingia Njombe...

Spika Adam Mkwawa alikuwa Mnyalu pia eeh?
 
Na ww masanilo from now on you are banned kuingia Njombe...

Kumbuka mimi Njombe lazima najua wafahamu sababu!

Hebu acha mbwe mbwe nijibu maswali yangu roho yangu ipate tulia. Jina la mumewe na watoto wa mh Anna Se-Mamba Makinda, mbona Sarah Pallin tulijua hata number ya former boyfriends? Hata waliowahi toka na Michele Obama kabla hajakutana na jaluo? Biodata za Mama Makinda ni muhimu.

Tutafutane Njombe Dec
 


Mngeanza na Mr President with that status first alafu ndiyo uje kwa spika mbona umeruka huko kooote!...au kwa sababu ni mwanamke ndiyo maana?....acha hizo Masa i still stick to my statement u r banned....najaribu kusahau sababu za wewe kuja Njombe tena....
 

Best ulitesa sana waalimu wako! Mbona huelewi ? ama wafanya kusudi! Jibu maswali tuendelee hiyo ban yako Invisible aatailift!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…