Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,356
Kamati ya Uongozi na Maadili ya Bunge imesitisha utoaji wa hoja binafsi indefinitely.
Kwa sababu, baadhi ya wabunge wamekosa nidhamu.
Mbunge gani, kwa kusoma nidhamu gani, katika hoja gani, no details.
Source: TBC
----------------------
Legislators should riot in protest!
Hatukubali hatukubali bora watu waingie barabarani kupinga huo utaratibu wa wabunge kufungwa midomo. No way watanzania kataeni kwa hali na mali. Tuna haki ya kuwakilishwa bungeni hatuwezi kunyang'anywa hiyo haki na mtu yeyote yule. hii ni uvunjifu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania. tusikubali.
Wanataka Bunge liwe rubber stamp ya kupitisha miswada ya seikali peke yake, ambayo mingi yake, haina maslahi na watanzania,bali iliyo mingi ni ya kifisadi na ni ya maslahi ya vigogo wa CCM na serikali yao, ikiwa ndiyo mkakati wao mkuu pekee uliobaki wenye lengo la kuhakikisha wanatutawala hadi mwisho wa Dunia!!!!Watakuwa wanajadili nini sasa?
Yani CCM wameamua kutumia nguvu kuzuia hoja za wapinzani ili watanzania wazidi kutaabika na mfumo mbovu wa utendaji.
CCM ni wauwaji.
\itisheni maandamano wabunge tudai haki zetu za msingi! Upuuzi mtupu huu ccm wanadhani uwingi wa wabunge bungeni ndo kila kitu wanasahau nguvu ya umma ni zaidi yao! Ipo siku tutawachapa bakora wajue tuna uchungu na nchi yetu
Kama hii habari ni ya kweli itakuwa aibu kweli kweli kwa Spika! Anavunja taratibu za bunge kwa sababu uwezo wake ni mdogo? Na kwa CCM wataweza kuhimili mapigo kama hoja binafsi zitaletwa mitaani? Mimi naona kama Spika anawaandaliwa CCM bomu!
usiwe unajidanganya dogo. mitaani kwa nani? kawa unataka kumwaga damu kachukue kiwembe ujikate kate itamwagika. kama watoa hoja hawana nidhamu spika afanyeje?
akiwaambia kaa chini wanakaidi. hata ungekua ww spika ungevumilia dharau kama hii! acha ujuha
tumia akili. tatizo na sababu kubwa ni kukosekana kwa nidhamu. bunge limekua kama sokoni. hoja binafsi zisitishwe kwa muda. nawasilisha
wananchi wenzangu hivi kuna haja ya kuwa na bunge kwa sasa?itisheni maandamano wabunge tudai haki zetu za msingi! Upuuzi mtupu huu ccm wanadhani uwingi wa wabunge bungeni ndo kila kitu wanasahau nguvu ya umma ni zaidi yao! Ipo siku tutawachapa bakora wajue tuna uchungu na nchi yetu
Wabunge wa upinzani leteni mashitaka kwa wananchi wataamua
Hoja ya elimu yetu kukosa mitaala tangu nchi kupata uhuru spika anasema isijadiliwe
Mfumo mbovu kabisa wa jiji la Dar es Salaam kuelea kwenye vinyesi na kukosa maji safi na salama spika na CCM yake wanataka hoja isijadiliwe
Hoja ya baraza la mitihani na kushusha viwango vya ufaulu pindi waziri wa elimu na serikali ya CCM inapojisikia na itakapo lifanyia swala hilo kisiasa spika anasema isijadiliwe
Hoja ya asilimia 42 wa tembo kuuliwa kila mwaka spika anasema isijadiliwe
Hoja ya gesi ya Mtwara na mikataba feki spika anasema isijadiliwe
Hoja ya maisha magumu na ukosefu wa kazi kwa vijana na kuundwa kwa baraza la vijana isijadiliwe kwa vile imeletwa na wapinzani njooni mutuambie sisi ndio tutaamua yaani wametufunga wanancchi kupitia wawakilishi wetu yaani inamaana tunakosa uwakilishi kabisa spika anataka tusikilize mawaziri wake tuu hiyo ya hoja kuzifuta ametoa kwenye kanuni zipi anadhani atabaki salama na CCM wanadhani wako salama na serikali wanadhani wametukomoa mawazo yao wananchi sisi ni wakuburuzwa duh kweli tuna spika
Yani CCM wameamua kutumia nguvu kuzuia hoja za wapinzani ili watanzania wazidi kutaabika na mfumo mbovu wa utendaji.
CCM ni wauwaji.
dogo, nani?
Kama spika mwenyewe hafuati kanuni anategemea nani azifuate? anatakuwa aongeze kwa mfano, na kama amevuruga kanuni sasa avune alichopanda. Hoja binafsi or not, CCM wakae mkao wa kuogeshwa maji baridi 2015.