mna undugu nyie si bure ww nae tahira tu kama uyo proffesor wa wezi
Eti anasaidia watoto maskini.ada 4.5m!bibi roho mbaya sura mbaya
Aa kupotosha watu. Unatakiawa kuelewa historia ya shule vizuri. Soma mkakati wa shule na kuuelewa. Acha wivu. Fanya kazi upate mapato yako halali. Shule ya Barbro ilianza kwa kusajili watoto yatima tu, ambao hawakuwa wakilipa karo.
Baadaye, shule ya Barbro iliongeza kundi jingine; watoto kutoka familia zenyeuwezo kidogo lakini wenye uwezo kitaaluma (bright) kwa wazazi husika kuliparobo ya karo, robo tatu ikilipwa kwa ruzuku ya ufadhili wa shule kutoka Uswidi.
Shule ilipoendeleakukua, hususan kufanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha 4 na 6,shauku ya wazazi, tena wenye uwezo kiuchumi kupepeleka watoto wao kusoma shuleya Barbro ili-inform sera ya shule ya Barbro kuwahudumia watoto wanaotokakatika familia zenye background tofauti, hivyo kulipa karo katika viwangotofauti. Kuna watoto wanaotoka familia maskini wanaendelea kusoma bure, kunawatoto wanaolipa robo ya karo wakipewa ruzuku robo tatu, kuna wanaolipa nusukaro na kupwea rusuku nusu, kuna wanaolipa robo tatu na kupewa ruzuku robo nakuna kundi kubwa la watoto wanaotoka katika familia zenye uwezo wanaolipa yoteya Tzs. 4.5m/- Na karo hii imepanda kutoka TZs.3m/- mwaka huu baada ya Waswidiwaliokuwa wakifadhili shule hii kumaliza muda wao wa ufadhili ili shule iwezekujitegemea kwa kujiendesha yenyewe (self-sustaining entity).
Aidha ni muhimu kufahamu kuwa kiasi cha karo, kwa wazaziwanaolipa Tzs. 4.5m/- inachangia watoto wanaotoka katika familia zisizojiwezawaliosajiliwa shuleni Barbro kutokana na uwezo wao kitaaluma/kumudu masomo.
Huo ndio ukweli. Watanzania tuache uswahili au kuchanganyaour political vendetta motivated politics dhidi ya jitihada binafsi za baadhiya viongozi wa kisiasa kusaidia hrakat za maendeleo.
Professa Tibaijuka amekuwa fundraisekwa ajili ya kupta pesaza kuendesha shule za Barbro Johanssen Trust. Ukitathmini ubora na thamani yasasa ya shule za Barbro (DSalaam) na Alexander Kajumulo (Bukoba) utakubalianana ukweli kuwa Tzs. 1.6b/- ni peanut. Huo ndio ukweli.
Anayetaka kufanya siasa za upinzani awe genuine, siyo kuletavendetta.
atakuwa prof mwenyewe huyu
Acha kupotosha watu. Unatakiawa kuelewa historia ya shule vizuri. Soma mkakati wa shule na kuuelewa. Acha wivu. Fanya kazi upate mapato yako halali. Shule ya Barbro ilianza kwa kusajili watoto yatima tu, ambao hawakuwa wakilipa karo.
Baadaye, shule ya Barbro iliongeza kundi jingine; watoto kutoka familia zenye uwezo kidogo lakini wenye uwezo kitaaluma (bright) kwa wazazi husika kulipa robo ya karo, robo tatu ikilipwa kwa ruzuku ya ufadhili wa shule kutoka Uswidi.
Shule ilipoendelea kukua, hususan kufanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha 4 na 6,shauku ya wazazi, tena wenye uwezo kiuchumi kupepeleka watoto wao kusoma shule ya Barbro, ili-inform sera ya shule ya Barbro kuwahudumia watoto wanaotoka katika familia zenye backgrounds tofauti, hivyo kulipa karo katika viwango tofauti. Kuna watoto wanaotoka familia maskini wanaendelea kusoma bure, kunawatoto wanaolipa robo ya karo wakipewa ruzuku robo tatu, kuna wanaolipa nusu ya karo na kufadhiliwa ruzuku nusu, kuna wanaolipa robo tatu ya karo na kupewa ruzuku robo, na kuna kundi kubwa la watoto wanaotoka katika familia zenye uwezo wanaolipa yoteya Tzs. 4.5m/-.
Lakini ingefaa kujua kuwa karo imepanda mwaka huu (2014) kutoka TZs.3m/-, baada ya Waswidi waliokuwa wakifadhili shule hii kumaliza muda wao wa ufadhili ili shule iweze kujitegemea hivyo kujiendesha yenyewe (self-sustaining entity).
Aidha ni muhimu kufahamu kuwa kiasi cha karo, kwa wazaziwanaolipa Tzs. 4.5m/- inachangia watoto wanaotoka katika familia zisizojiwezawaliosajiliwa shuleni Barbro kutokana na uwezo wao kitaaluma/kumudu masomo.
Huo ndio ukweli. Watanzania tuache uswahili au kuchanganya our political vendetta-motivated politics dhidi ya jitihada binafsi za baadhi ya viongozi wa kisiasa kusaidia harakati za maendeleo.
Professa Tibaijuka amekuwa aki-fundraise kwa ajili ya kupta pesa za kuendesha shule za Barbro Johanssen Trust.
Ukitathmini ubora na thamani ya sasa ya shule za Barbro (DSalaam) na Alexander Kajumulo (Bukoba) utakubaliana na ukweli kuwa Tzs. 1.6b/- ni peanut. Huo ndio ukweli.
Anayetaka kufanya siasa za upinzani awe genuine, siyo kuletavendetta.
kuna shule ada ni mil 12 hapa bongo.mil 4 hyo ni kwa shule nyingi tu mbona?miundo mbinu ya barbro ni mizuri na mchanganuo uliotoa unaeleka.feza boys ada yao zaidi ya mil 8 lakini ina ufadhiri wa waturuki.watu wasiojua jinsi jamii ilivyo na mambo yanayoendelea maeneo mengine, hukosa maarifa zaidi ya kile wanachokijua,kiufupi huo ni ujinga!acha kupotosha watu. Unatakiawa kuelewa historia ya shule vizuri. Soma mkakati wa shule na kuuelewa. Acha wivu. Fanya kazi upate mapato yako halali. Shule ya barbro ilianza kwa kusajili watoto yatima tu, ambao hawakuwa wakilipa karo.
baadaye, shule ya barbro iliongeza kundi jingine; watoto kutoka familia zenye uwezo kidogo lakini wenye uwezo kitaaluma (bright) kwa wazazi husika kulipa robo ya karo, robo tatu ikilipwa kwa ruzuku ya ufadhili wa shule kutoka uswidi.
shule ilipoendelea kukua, hususan kufanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha 4 na 6,shauku ya wazazi, tena wenye uwezo kiuchumi kupepeleka watoto wao kusoma shule ya barbro, ili-inform sera ya shule ya barbro kuwahudumia watoto wanaotoka katika familia zenye backgrounds tofauti, hivyo kulipa karo katika viwango tofauti. Kuna watoto wanaotoka familia maskini wanaendelea kusoma bure, kunawatoto wanaolipa robo ya karo wakipewa ruzuku robo tatu, kuna wanaolipa nusu ya karo na kufadhiliwa ruzuku nusu, kuna wanaolipa robo tatu ya karo na kupewa ruzuku robo, na kuna kundi kubwa la watoto wanaotoka katika familia zenye uwezo wanaolipa yoteya tzs. 4.5m/-.
Lakini ingefaa kujua kuwa karo imepanda mwaka huu (2014) kutoka tzs.3m/-, baada ya waswidi waliokuwa wakifadhili shule hii kumaliza muda wao wa ufadhili ili shule iweze kujitegemea hivyo kujiendesha yenyewe (self-sustaining entity).
aidha ni muhimu kufahamu kuwa kiasi cha karo, kwa wazaziwanaolipa tzs. 4.5m/- inachangia watoto wanaotoka katika familia zisizojiwezawaliosajiliwa shuleni barbro kutokana na uwezo wao kitaaluma/kumudu masomo.
huo ndio ukweli. Watanzania tuache uswahili au kuchanganya our political vendetta-motivated politics dhidi ya jitihada binafsi za baadhi ya viongozi wa kisiasa kusaidia harakati za maendeleo.
professa tibaijuka amekuwa aki-fundraise kwa ajili ya kupta pesa za kuendesha shule za barbro johanssen trust.
Ukitathmini ubora na thamani ya sasa ya shule za barbro (dsalaam) na alexander kajumulo (bukoba) utakubaliana na ukweli kuwa tzs. 1.6b/- ni peanut. Huo ndio ukweli.
anayetaka kufanya siasa za upinzani awe genuine, siyo kuletavendetta.
atakuwa prof mwenyewe huyu
hebu angalia unavyojichanganya...
1; shule ilianza kusajili watoto yatima tu ambao hawakulipa ada (inaonekana mbinu hii ilitumika kwa ajili ya kuombea misaada na kuaminisha uma kuwa shule haifanyi biashara)
2; baadae shule iliongeza kundi jingine la watoto wenye uwezo (hapa kwanza unapunguza watoto wa kundi la kwanza ambao ni yatima na pili unatoka nje ya mission na vision ya shule kusaidia watoto yatima)
3; matokeo yalipokuwa mazuri shule ikabadilisha sera yake na kuanza kupokea watoto wenye uwezo (hapa biashara imeanza rasmi)
kwa ufupi watoto yatima wanatumika kama kigezo cha kuombea msaada tu shuleni kwenu.na usikute hawafiki hata 20 shule nzima.kiufupi shule yenu haieleweki inafanya biashara au inatoa huduma.
wewe umezuiwa jamani?huo ni wivu na upumbavu!msaada si lazima watoto kusoma, hata uwepo wa shule yenye miundombinu mizuri imejengwa kwa jitihada zake ni msaada.mbona wazungu wanatupa mikopo lakini inaitwa misaada?kuwa na uelewa mpana na kama wewe ni slow learner,nenda veta ukajifunze kuosha magari hapo huwezi kuargue.
atakuwa prof mwenyewe huyu
Nimekuelewa mama Tiba.
Kutojua sheria sio tiketi ya kufanya makosa ambayo hata asiye profesa hawezi kufanya pumba hizo,Kwann isingelipwa kwenye account ya shule straight? Huyu ni mwizi tu!!!
Eti anasaidia watoto maskini.ada 4.5m!bibi roho mbaya sura mbaya
Hebu angalia unavyojichanganya...
1; Shule ilianza kusajili watoto yatima tu ambao hawakulipa ada (Inaonekana mbinu hii ilitumika kwa ajili ya kuombea misaada na kuaminisha uma kuwa shule haifanyi biashara)
2; Baadae Shule iliongeza kundi jingine la watoto wenye uwezo (Hapa kwanza unapunguza watoto wa kundi la kwanza ambao ni yatima na pili Unatoka nje ya mission na vision ya shule kusaidia watoto yatima)
3; Matokeo yalipokuwa mazuri shule ikabadilisha sera yake na kuanza kupokea watoto wenye uwezo (Hapa biashara imeanza rasmi)
Kwa ufupi watoto yatima wanatumika kama kigezo cha kuombea msaada tu shuleni kwenu.Na usikute hawafiki hata 20 shule nzima.Kiufupi shule yenu haieleweki inafanya biashara au inatoa huduma.