Anna Makinda For Presidency 2015!!

mara gwaaa..mtu kawa nominated ..mara gwaaa ... watu wameiba kura ..mara gwaaa..watu wameingia magogoni ..mara ving'ora mama ni rais..mimi najinyonga au nahamia kenya kama maghufuli alivyoshauri

hahahaah!! Hapo wengi tutachukua maamuzi magumu ya kubadili uraia!
 
Mara kumi wampe kilaza L.LUSINDE, tujue moja kwamba imekula kwetu.
 
Kama akichaguliwa mimi sitapiga kura maana kura yangu hata nikipiga kwingine wataiiba siku hiyo sipigi nikula castle zakutosha!!
 
Mwambie kwanza akatengeneze meno maana anapotabasamu natamani ardhi ipasuke nitumbukie.
 
bora tumchague mgonjwa wa akili wa mirembe kuwa presidaa
 
mshaambiwa Lowassa ndiye ajaye,mnataka nini tena?? he is supported by Kikwete and CDM!
 
mara gwaaa..mtu kawa nominated ..mara gwaaa ... watu wameiba kura ..mara gwaaa..watu wameingia magogoni ..mara ving'ora mama ni rais..mimi najinyonga au nahamia kenya kama maghufuli alivyoshauri

Teh teh teeeeee. Alfu lela ulela...siku elfu na moja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…